Pages

Friday, September 27, 2013

WIMBO KUHUSU HISTORIA YA MAREHEMU ALBERT MANGWAIR KUTOKA HIVI KARIBUNI


Msanii M 2 the P na Juma Mchopanga Jay moe  wameonekana wakiandika wimbo unaoenda kwa jila la 'Albert Mangweha'

 Msanii M 2 the P amesema kuwa alioufanya kwaajili ya marehemu Ngwair, 'Albert Mangweha' umekwisha rekodiwa na kinachosubiriwa ni Produza Marco Chali kumalizia mixing.

Msanii huyo Amesema wimbo huo kuwa unahusu maisha ya Ngwair tangu alipozaliwa mpaka alipofariki, ”kila ambacho ninakijua kuhusu marehemu nimekiandika na vingine nilikuwa nikiwauliza ndugu zake na pia nimeandika kwa kushirikiana na Jaymo ambaye pia nimeshirikiana nae kwenye wimbo huu”, alisema Msanii M 2 The P.

 Kwenye chorus ya wimbo huo ameshirikishwa msanii wa kuimba anayefanya vizuri hivi sasa katika Game na M 2 the P alisema kuwa hataki kumtaja hadi pale wimbo huo utakapotoka.

Pia alisema video ya wimbo huo utaonesha kila kitu kuhusu maisha ya marehemu.

0 maoni:

Post a Comment

Labels