Pages

Tuesday, September 24, 2013

DRAKE:-NAHESHIMU KAZI ZA KENDRICK LAMAR ILA MPIZANI WANGU MKUBWA KATIKA GAME NI KANYE WEST.


Rapper Drake hivi karibuni ameka chini na kuongelea mambo tofauti kuhusu mziki wake na kusema tayari ana mpango mkubwa wakufanya kazi na kundi lenye heshima kwenye Hiphop game duniani Wu-Tang Clan.
Kwenye mahojiano kuhusu ujio wa CD yake mpya ya Nothing Was The Same Drake amesema wimbo wake wa Wu Tang Forever umepokelewa vizuri sana na ninafasi yake kufanya kazi na wakongwe hao
Kuhusu Kendrick Lamar, Cole amefunguka nakusema "Baadhi ya mashairi kwenye wimbo wake wa “Pound Cake” yalitakiwa kutumika kwenye album ya rapper Jay Z ya Magna Carta Holy Grail' na kuhusu Upinzani na uwezo wa  Kendrick Lamar Drake kasema Anaheshimu Kazi za Kendrick ila Mpinzani wake mkubwa katika Kiwanda cha Muziki ni Kanye West na Bosi wa G.O.O.D Music Record Label.

0 maoni:

Post a Comment

Labels