Pages

Sunday, November 11, 2012

AMESHAOLEWA NI UJIO MPYA WA SAM WAUKWELI

Mkali wa nyimbo kama "hata kwetu wapo,najua,usinache mchumba nazingine nyingi si mwingine sam waukweli yupo kwenye hatua yamwisho katika maandalizi ya kuisambaza kazi yake mypa iayoitwa AMESHAOLEWA.

Katika wimbo huo ameawashirikisha wasanii wawili wanaofanya vinzuri katika tasinia hii ya muziki wa kizazi kipya Tanzania wasanii hao ni RICH MAVOKO & Z ANTO na Track imefanyika BURN RECORD's Under The Hit Maker SHEDDY CLEVER

Endelea kufuatilia mtandao huu ilikuipata track hiyo

0 maoni:

Post a Comment

Labels