Pages

Friday, November 09, 2012

WIKI LIJALO WAKUBWA WAJIJI KUACHIA VIDEO YA WIMBO WAO "MUDA"

Kundi linalosumbua na Track ya Muda si lingine ni WAKUBWA WAJIJI Kutoka Mwanza (Rock City) wiki la Jumatatu watakuwa wakirelease Video yao ambayo imefanyika na kampuni ya Show bizy Defined chini ya Director Mike Tee.

Audio ya ngoma hiyo ilitayarishwa na Lollipop wa K Record's

0 maoni:

Post a Comment

Labels