Pages

Wednesday, December 05, 2012

CHECK OUT NA LIST YA AWALI YA WASANII AMBAO WATAHUSIKA KATIKA BACHELOR PARTY


Kwa mara ya Pili mkali kutoka Mkoani Iringa George Kasela a.k.a Squeezer atapiga show katika ardhi ya Makete nawasanii wengine kutoka Mkoani Iringa.

Show hiyo imeandaliwa na ICE ENTERTAINMENT na Hii ndio list ya wasanii
01;-SQUEEZER
02;-WENDE

Pia katika BACHELOR PARTY squeezer atatambulisha ngoma mpya kwa mara ya kwanza itasikika hapo na amewashirikisha wasanii kama Chid Beenz na Bob JR pia imefanyika Sharobaro Record's chini ya The Hit Maker Bob Jr.

Katika upande wa Video Itafanyika na Man Walter wa Combination sound.

Nawasanii wengine utawajua kesho watatambulishwa katika kipindi cha 97 Show na Ergon Elly na Redio Kitulo Fm

0 maoni:

Post a Comment

Labels