This is default featured slide 1 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 2 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 3 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 4 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
This is default featured slide 5 title
Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.
Thursday, December 06, 2012
Wednesday, December 05, 2012
EXCLUSIVE:JAY MOE AFANYA COLLABO NA OMMY DIMPOZ
CHECK OUT NA LIST YA AWALI YA WASANII AMBAO WATAHUSIKA KATIKA BACHELOR PARTY
CELINE DION AWATOA ,MAPACHA WAKE
Toka alipojifungua Oktoba 2010, mapacha Nelson na Eddy, hawakuwahi kuonekana hadharani.
Celine alikuwa nchini humo kwa ajili ya kufanya mahojiano ya kipindi maalum na kituo kimoja cha televisheni na alipomaliza walirejea nchini Marekani.
Mwinyi Goha ampigia magoti Jaydee, ataka kurudi Machozi Band

Tuesday, December 04, 2012
DULLY SYKES ATIMIZA MIAKA 32, AJA NA 'UTAMU UTAMU' KWA ZAWADI KWA MASHABIKI WAKE
MSANII mwenye jina Kubwa katika tasinia ya muziki wa kizazi kipya Tanzania Dully Sykes amewapa mashabiki wake zawadi ikiwa ni moja ya maadhimisho ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ambapo ametimiza miaka 32
Ametoa zawadi ya 'single' yake mpya inayokwenda kwa jina la Utamu Utamu akiwa amewashirikisha wasanii wenzake wa bongo fleva wanaotikisa kwenye anga za muziki Diamond, pamoja na Omy Dimpozi
"Nimetimiza miaka 32 nashukuru mungu lakini sifikirii kufanya part yoyote ile kwani sitaki kuwa na mkusanyiko wa watu wachache ila ninachokiwaza ni kutoa zawadi kwa mashabiki na wadau wote kama shukurani kwa siku ya kuzaliwa kwangu" alisema Dully
Alisema kuwa single hiyo itakuwa bomba na kufanya vizuri kwa sababu na maaandalizi yaliyoandaliwa kwa ajili ya kuiboresha video hiyo
"Wasanii nilishorikiana nao ni wakali na wanatikisa katika anga za muziki hivyo kila kitu kitakuwa vizuri na ngoma itafanya vizuri sana naamini hivyo, kwani siajawahi kuwaangusha mashabiki wangu tangu nimeanza muziki" alisema
MENEJA WA TIP TOP CONNECTION ASEMA SABABU ZA WAO KUINGIA KATIKA UTENGENEZAJI FILAMU NA PIA KUHUSU MSANII MPYA WA TIP TOP
Hivi karibuni Meneja wa kundi la Tip Top Connection Babu Tale alisema kuwa hivi sasa pia kundi hilo litakuwa ni kampuni na mbali na muziki pia litakuwa likijishughulisha na utengenezaji filamu.
ILIVYOKUWA SIKU YA MTIKISIKO 2012
Tamasha la tano la KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 jumamosi ya wiki iliyopita ya Dec mosi lilifikia tamati Iringa mjini katika viwanja vya SAMORA.
DAZ BABA
IZZO B
KALA JEREMAH
GODZILLA
Kim Kardashian ndiye mrembo aliyetafutwa zaidi kwenye yahoo! Mwaka 2012, Mikasa ya mapenzi yampandisha.

New Video: Diamond Platnumz - Nataka Kulewa [Official Video]
Monday, December 03, 2012
BRAND NEW HIT;- BEN PAUL FTN LUCCI
Msanii wa RnB Tz Ben Pol ameachia Brand New Track Inayoitwa Majonzi akimshirikisha Lucci na hii ni kwa Ajili ya Wasanii walio tutoka hivi karibuni .
RAPPER LORD EYEZ ATUNGA MISTARI KAMA UJUMBE KWA RAY C
Akizungumza katika mahojiano yake na kituo cha televisheni jijini Dar es Salaam alisema kuwa ameamua kutunga mistari kuhusiana na matatizo yanayomkabili kwa sasa kwa lengo la kumfariji msanii huyo
Alisema kuwa anasikitika na baadhi ya watu kumuhusisha katika matatizo yanayomkabili Ray C yanayotokana na matumizi ya madawa ya kulevya jambo ambalo anadai hausiki nalo
"Sihusiki kabisa na swala la Ray C kutumia dawa za kulevya na naomba watu wasiniongeze mzigo kwa kunihukumu katika vitu ambavyo sihusiki navyo, hata mimi tatizo lake limenigusa na ninamuombea sana arudi katika hali yake ya kawaida na ninaamini mungu atamsaidia na atakuwa pouwa " alisema Lord Eyez
ANGALIA BEHIND THE SCENE YA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA WIMBO WA NATAKA KULEWA WA MSANII DIAMOND
![]() |
| Moja ya scene za kwenye video ya 'Nataka kulewa' |
Pia msikilize Diamond mwenyewe akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu wimbo na video hiyo ikiwa ni pamoja na sababu za yeye kuchagua kuuandika wimbo huo, sababu za kumchagua video model waliemtumia anayeitwa Jackie Cliff na sababu za mavazi aliyoyatumia. Tazama hapa behind the scene...www.leotainmenttz.com/2012/12/teaser-angalia-behind-scene-ya.html
MeccaCheka wafanya collabo na nakaaya
Labels
- Album (4)
- Annapita (1)
- BET (1)
- C.E.O ELLY BLOG (13)
- Criss wamarya (1)
- Dj Choka (4)
- Dj Nundu (33)
- EATv (4)
- EDDY BLOG (4)
- eddy mo blaze (5)
- ELLY BLOG (565)
- Ergon ELLY (33)
- Ergon sanga (46)
- ergonelly (780)
- GQ TownDad GQ (1)
- Habari (245)
- Interview (19)
- Juacali (1)
- Kitulo Fm (17)
- KTMA 2013 (13)
- Lyrics (8)
- Maua Sama (1)
- Mr R.E.D (1)
- New Hit (73)
- Picha (160)
- Pro-24 (1)
- Redio Kitulo Fm (126)
- Top 10 (15)
- Top 20 (18)
- Video (19)
- Y-Jay (1)




























