Napenda kuwajulisha watu wangu kuwa leo Birthday yangu, nimetimiza
miaka 32.
Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha hapa nilipo na
anaendelea kunijalia.
Nawashukuru wadau wote wa tasnia ya burudani ndani
na nje ya Tanzania kwa kunipa sapoti kubwa. 1
0 maoni:
Post a Comment