Pages

Monday, December 03, 2012

MeccaCheka wafanya collabo na nakaaya

 MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru" ikiwa ni hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufaham kama wakali wa ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole" tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz wa kundi,Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa huru www.hulkshare.com/1lf8skbkh5kw/?force=1

0 maoni:

Post a Comment

Labels