Pages

Tuesday, December 04, 2012

ILIVYOKUWA SIKU YA MTIKISIKO 2012


        Tamasha la tano la KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 jumamosi ya wiki iliyopita ya Dec mosi lilifikia tamati Iringa mjini katika viwanja vya SAMORA.

STAGE

WATU WAKIFATILIA GAME HAPOHAPO UWANJANI

CROWD..
       Hili ni TAMASHA linalofanyika kila mwaka chini ya EBONY ENTERTAINMENT, Radio EBONY FM inayosikika katika mikoa yote ya NYANDA ZA JUU KUSINI na kwa udhamini mkubwa wa TBL kupitia bia yake ya KILIMANJARO PREMIUM LAGER ambapo mwaka huu limevunja rekodi ya kujaza uwanja wa mpira wa SAMORA kwa kuhudhuriwa na mashabiki na wapenda burudani wa mikoa ya Nyanda Za Juu zaidi ya 15,000.

WATU...

DJ MUBA

JB TOKA MABAGA FRESH
 
Mbali na wasanii kutoka katika mikoa ya Nyanda Za Juu...wasanii waalikwa kutoka Dar-es-Salaam waliofanikiwa kukonga nyoyo za mashabiki hao ni pamoja na ROMA, PROF JAY, IZZO B, DARASA, STAMINA, BOB JUNIOR, QUICK ROCKA, KALA JEREMIAH, JUMA NATURE, GANGWE MOBB, MABAGA FRESH, NEY WA MITEGO, MR. BLUE, BELLE 9 na wengine kibao.

IZZO B

STAMINA

DARASA
KILIMANJARO MTIKISIKO 2012 lilianzia katika mji mdogo wa MAKAMBAKO kwa mbili, ya kwanza katika viwanja vya AMANI na baadae kwenye ukumbi wa GREEN CITY HALL, baada ya MAKAMBAKO likafanyika jijini MBEYA kwenye viwanja vya CITY PUB na jumamosi wiki iliyopita limemalizika katika viwanja vya SAMORA mjini Iringa.

DARASA

DARASA

SUMA MNAZARETI

KALA JEREMIAH

DJ ALI-B

D.N.A. TOKA KENYA

D.N.A...ASANTE IRINGAAAA..

NEY WA MITEGO

NEY

BOB JUNIOUR

BELLE 9

R.O.M.A.


                                                         

 
                                                 DAZ BABA
                                                    IZZO B
                                                   KALA JEREMAH
                                                      GODZILLA
                                                          DNA
NEY WAMITEGO




0 maoni:

Post a Comment

Labels