Pages

Monday, December 03, 2012

ANGALIA BEHIND THE SCENE YA UTENGENEZWAJI WA VIDEO YA WIMBO WA NATAKA KULEWA WA MSANII DIAMOND

Moja ya scene za kwenye video ya 'Nataka kulewa'
Kabla haujaiona video kamili inayosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa Bongo flavor ya Diamond Platnumz "Nataka kulewa", hebu kwanza jionee video ya matukio yaliyojiri wakati wa utengenezwaji wa video hiyo iliyokamilishwa na kampuni ya I-View Studios chini ya director ambae pia ni manager wa Diamond anaefahamika kama Raqey Mohamed. 

Pia msikilize Diamond mwenyewe akizungumzia mambo mbalimbali yanayohusu wimbo na video hiyo ikiwa ni pamoja na sababu za yeye kuchagua kuuandika wimbo huo, sababu za kumchagua video model waliemtumia anayeitwa Jackie Cliff na sababu za mavazi aliyoyatumia. Tazama hapa behind the scene...www.leotainmenttz.com/2012/12/teaser-angalia-behind-scene-ya.html

0 maoni:

Post a Comment

Labels