Pages

Wednesday, May 28, 2014

DR DRE STILL A MILLIONARE OR NOT??????

Kama hii ni kweli it’s bad news kwa Dk. Dre.
inasemekana kwamba kampuni ya Apple baada ya kuona video ya Dre na Tyrese wakijitamba juu ya kupata deal ya dollar billion 3.2 kwa kuuza beats by dr, dre head phones
dizaini kama wameogopa kuendelea na deal hiyo.
 http://www.billboard.com/files/styles/promo_650/public/stylus/503666-dr-dre-getty-617-409.jpg
Na sababu kuu iliyotolewa ni kwamba eeti, apple wao vitu vyao huwa ni top secrets ,
sasa baada ya Dre na Tyrese kutoa ile video, it can be a bad for the business so let’s wait and see, so for now  dr. is still a millionaer or not

0 maoni:

Post a Comment

Labels