Pages

Friday, May 30, 2014

Picha ya harusi ya Kim Kardashian imevunja rekodi ya Instagram kwa kupata likes nyingi zaidi



Picha ya harusi ya ya Mr na Mrs West aliyoipost Kim Kardashian katika akaunti yake ya Instagram siku tatu zilizopita imevunja rekodi ya kuwa na likes nyingi zaidi katika mtandao wa kushare picha wa Instagram, na kuivunja rekodi iliyokuwa imewekwa na msanii wa Canada Justin Bieber.
kim west2
Picha hiyo inayowaonesha Kim na Kanye waki kiss wakati wa harusi yao imepata likes milioni 1.94 hadi sasa na kuizidi picha ya Bieber akiwa na mpenzi wake wa zamani Selena Gomez iliyokuwa imeshikilia rekodi ya Instagram kwa kuwa na likes milioni 1.82

0 maoni:

Post a Comment

Labels