Pages

Wednesday, May 07, 2014

RIHANNA AIBWAGA CHINI DEF JAM



Rihanna a.k.a Riri ameimwaga Recording label yake ya muda mrefu ya Def Jam Records na kujiunga na label inayoongozwa na Jay Z ambayo ni Roc Nation Recordind Label….Jarida la Complex limeripoti.

Pamoja na Rihanna kuachana na Def Jam lakini album yake ijayo baada ya ile ya mwaka 2012 ‘Unapologetic’,itaendelea kusambazwa na label hiyo.

Jay Z ndiye aliyempa dili Riri Rihanna kipindi alipokuwa bado ni Rais wa Def Jam kabla hajajiondoa mwaka 2009 na kuanzisha label yake ya Roc Nation, lakini uhusiano wao wa kikazi uliendelea kama kawaida.

0 maoni:

Post a Comment

Labels