Pages

Friday, May 30, 2014

Diamond Platnumz asitisha show yake ya Northampton, Uingereza iliyokuwa ifanyike Leo



show
Diamond Platnumz ambaye kwa sasa yuko nchini Ghana amelazimika kusitisha show aliyokuwa aifanye Northampton, Uingereza Ijumaa hii (May 30) baada ya waandaaji wa show hiyo kushindwa kutimiza makubaliano waliyowekeana.

Show Kupitia Instagram Nasib Abdul amepost:
“Kutokana na Promoter kushindwa kutimiza makubaliano hadi sasa,imetubidi kukatisha show ya Northampton…! NEW YORK, NEW JERSEY niko njiani tukutane tarehe 31 ya Mwezi huu! 

Toka wimbo wa ‘Number One’ Remix aliyomshirikisha Davido utoke, Platnumz ameonekana kuwa na booking za show nyingi za kimataifa kuliko msanii mwingine yeyote wa bongo fleva kwa sasa

0 maoni:

Post a Comment

Labels