Msanii nyota wa kike wa muziki wa kizazi kipya
nchini,Khadija Shaban maarufu kama ‘Keisha’ amejifungua mtoto wa kiume
siku ya Jumatatu (Mei 5) katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Keisha amesema anashukuru Mungu amejifungua salama
na mtoto anaendelea vizuri…..“Nimejifungua mtoto mwingine wa kiume katika
hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni.
Namshukuru Mungu nimejifungua salama na mtoto
anaendelea vizuri,” amesema.
Keisha anawatoto wawili…..Wakwanza ni wa kiume alijifungua
kwa njia ya upasuaji na kumpa jina la Jam
Key Machi 2011,
0 maoni:
Post a Comment