Pages

Wednesday, October 17, 2012

CPWAA NA AY WAMETOA VIDEO AMBAYO INAELEZA JINSI YA KUWAPIGIA KURA CHANNEL O


CP Katika Picha

 
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ambene Yesaya, pamoja na Cpwaa wametengeneza video maalum kwaajili ya kuomba kura katika tuzo za Channe O za Afrika kusini.
AY katika Picha

Cpwaa akitoa amelezo jinsi ya kuweza kufanikisha wasanii wa ndani ya nchi ya Tanzania kuibuka ushindi katika tuzo hizo mashuhuri Afrika.
 

0 maoni:

Post a Comment

Labels