Pages

Wednesday, October 17, 2012

RAPPER TYGA APATA MTOTO WA KIUME.# PICHA NA STORY KAMILI HAPA

Blac Chyna And Tyga
Rapper Wa Young Money `Tyga' mwenye miaka 22  na mpenzi wake aliyeonekana kwenye video ya Tyga - Rack City ` Blac Chyna wamekaribisha mtoto wao wa kwanza saa chache zilizopita. Mtoto huyu wa kiume amepewa jina la King Cairo Stevenson na amezaliwa 16 ,10,2012.
Tyga Akimbeba Mtoto Wake


Tyga Aliingia Twitter Nakutoa Taarifa Hivi.

 Blac Chyna Aliandika Hivi
  Na sammisago

0 maoni:

Post a Comment

Labels