Pages

Thursday, October 18, 2012

NONINI KUGONGA COLLABLE NA LADY JAY DEE & WAHOO

 Nonini katika picha

Mwanamuziki nguli na Mtangazaji wa Kituo cha Redio Nchini Kenya NONINI Ameamplify kuwa yupo kwenye harakati za kufanya ngoma ambayo itawahusisha WAHOO kutoka Nchini Kenya na LADY JAY DEE Kutoka Tanzania

WAHOO ni mmoja kati ya wasiriki katika Tuzo za Kisima za Nchini Kenya

0 maoni:

Post a Comment

Labels