Pages

Thursday, October 18, 2012

JACKLINE WOLPER KUMUENZI MAREHEMU STEVEN KANUMBA KWA KUTOA FILAMU AMBAYO ITAWASHIRIKISHA WATOTO WALIOWAHI FANYA KAZI NA KANUMBA

Msanii wa Filamu Tanzania ambae alishiriki katika Filamu ya mwisho ya Marehemu Steven Charles Kanumba  NDOA YANGU  Jackline Wolper amesema anataka kumuenzi marehemu kwa kuandaa Filamu ambayo itawashirikisha watoto ambao walishawahi kuigiza na Kanumba katika Filamu tofauti tofauti.
Wolper amesema filamu hiyo itaitwa AFTER DEATH

Steven Charles Kanumba alifariki dunia Aprili 7, mwaka huu jijini Dar es Salaam kwa madai ya kusukumwa na Elizabeth Michael ‘Lulu’ mpaka kupelekea mshituko wa ubongo, Lulu anashikiliwa na vyombo vya dola mpka sasa. 

 Jenifer katika pozi,.
 Patrick akifanya mazoezi ya sauti

 Baada ya kutambiana nani atamfunika mwenzake Jenifer(Irene)au Lauren(Aunty) au director Patrick(Ray)...wakapata picha ya pamoja,,,nami nikawaahidi pindi kila kitu kikiwa tayari nitawaita na kuanza mazoezi kisha kushoot ila wakati wa likizo zao bila kuadhiri masomo yao.
 Jenifer
 Lauren akiwa katika pozi



0 maoni:

Post a Comment

Labels