Pages

Tuesday, October 23, 2012

X GIRL FRIEND---- NEW HIT KUTOKA KWA DJ NAS COMIN' SOOON

Hip Hop MC kutoka Stone Town IRINGA na anayefanya vizuri na ngoma yake ya PATA RAHA au CHAP CHAP si mwingine ni Nickson Sanga alimarufu kama DJ NAS yupo kwenye harakati za kuachia ngoma mpya ambayo imeandaliwa na The Hit Maker TEMMY kutoa I MUSIC.

Akichonga na mmilikiwa mtandao wa www.ergonelly.blogspot.com DJ NAS amesema Ngoma hiyo inaitwa X Girl Friend na mashabiki wake wakae tayari kwa mzigo mpyaaaa

 DJ NAS ni Mtangazaji na DJ wa kituo cha Redio Country FM Mkoani Iringa

0 maoni:

Post a Comment

Labels