Pages

Friday, October 26, 2012

K RECORD'S KESHO JUMAMOSI KUMPATA MSANII ATAKAE SAINI LABLE

Studio ya Kurekodi Musiki ya K RECORD's na Boss wa studio hiyo watakuwa watakuwa wanatafuta mtu/msanii wa kusaini nae lable ya muda wa miaka miwili mchakato wa kumtafuta msanii utafanyika Jumamosi katika Ofisi hizo kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi kamili jioni.

Majaji katika mchakato huo watakuwa kama ifuatavyo;-FILBETH KABAGO -Mtangazaji wa Passion Fm
SHEILA na LOLLI POP - Producer wa K RECORD'S  na mshindi wa kwanza atasaini lable washindi wa PILI na WATATU watarekodi ngoma Bure

0 maoni:

Post a Comment

Labels