Pages

Tuesday, October 16, 2012

COLLABLE YA TIMBULO NA X MALEYA MTAANI WIKI HILI

Mkali wa muziki wa kizazi kipya kutoka jiji Dar es  salaam Timbulo sasa anadrop na bonge la collable na wakali kutoka Cameroon X-Maleya.

Akizungumza kwa njia ya simu kutoka jijini dar es saalam mkali huyo amesema ngoma inaitwa Ellastic ya Upendo akimaanisha Ellastic ni kitu au jamii ya mnati ambacho kinatabia ya kuvutika lakini yeye amemaanisha Ellastic ya upendo wake imevutika mpaka imefikia kikomo na imekatika na anashauku ya kufanya kazi kimataifa ili kujitangaza kimuziki


Pamoja na hayo Timbulo amesema amefanya collable na X-Maleya ili kuwafumbua macho wa Bongo wengi ambao walikuwa wanafikiri kuwa yeye alikuwa anacopy kazi za X-maleya na kuwa alikuwa amekubaliana nao.


Ngoma hiyo inatarajia kuachiwa kwenye media ndani ya wiki hili kwani kila kitu kipo tayari pia katika mixing pande zote mbili zinafanya katika collable hiyo Timbulo amesema hajawalipa chochote washikaji hao

0 maoni:

Post a Comment

Labels