Pages

Thursday, October 18, 2012

RAPPER DRAKE NDIO AMEMALIZA SHULE YA SEKONDARI NA HAYA NDIO MAJIBU YAKE.

Drake
 Rapper mwenye mauzi mazuri ya Album na Mixtape  yani `Santuri na Kanda mseto' zake kupitia Young Money Cash Money Drake ndio amemaliza shule ya sekondari nakuweka majibu yake wazi kwenye Ukurasa wake wa Twitter.

Drake alitumia Miezi 5 kufundishwa yale aliokosa alipoacha shule na mwalimu wake wa nyumbani Mwalimu Kim Janzen.

Dah Inaonekana Drake anahofia kutofanya vizuri kwenye mziki na uigizaji ndio maana kamalizia shule faster ili aendele na chuo.

Akiwa na miaka 25,na tayari amekwisha achia two platinum-selling albums na kusafiri sehem ubwa ya dunia, rapper Drake  hatimaye amemaliza High school.

akiwa na 15, young Drake, born Aubrey Graham, aliacha masomo ya high school na kuamua kushiriki popular Canadian television series "Degrassi: The Next Generation." 

Aliandika Hivi Twitter.

0 maoni:

Post a Comment

Labels