Pages

Friday, October 19, 2012

NGOMA 5 KALI AMBAZO NEYO AMEWAANDIKIA WASANII WENGINE LEO ANATIMIZA MIAKA 30

 
 
 Neyo
Mbali na kuimba, Kuproduze,kuigiza Neyo huwa anawaandikia ngoma wasanii wengine yaani 'Song Writter' akiwa anatimiza miaka 30, si vibaya ukajua ngoma 5 kali ambazo aliwaandikia wasanii wengine'
 
Let Me Love You ya Mario
Irreplaceable ya Beyonce
Spotlight ya Jeniffer Hudson
Take a Bow ya Rihana
Knock you Down ya Kerri Hilson

0 maoni:

Post a Comment

Labels