Pages

Thursday, October 18, 2012

ALICHOKISEMA NEY WA MITEGO KUHUSU KAULI ILIYOTOLEWA NA BASATA

Ney wa Mitego.
 
Baada ya BASATA kutoa kauli kuhusu wasanii wenye kuimba nyimbo zenye matusi kuchukuliwa hatua na wale wanaovaa nguo zinazokiuka maadili,Ney wa Mitego ambaye analalamikiwa na wasanii wa bongomovies kwa kuwasema katika nyimbo zake, alizungumzia kuhusu tamko hilo  nakusema kuwa haelewi BASATA wanataka wasanii waimbeje...MSIKILIZE hapo chini

0 maoni:

Post a Comment

Labels