Pages

Wednesday, October 17, 2012

D'BANJ AMETAJWA KUWANIA MTV EUROPE AWARDS 2012 KATIKA KIPENGERE CHA - BEST AFRICAN ACT


Mkali kutoka Nigeria D'Banj ametajwa kuwania Tuzo za MTV 2012 katika kipengere cha BEST AFRICAN ACT Hii nikutokana na kupigiwa kura nyingi zaidi na mashabiki kutoka Afrika.

D'Banj anajuliokana kwa Jina la DAPO DANIEL OYEBANJO ameweza kuwashinda wakali kutoka nchi tofauti ka Kenya iliwakilishwa na Camp Mulla pia mnageria mwenzake Wiz Kid,Sharkodie wa Ghana na Mi Casa wa Afrika Kusini.

Tuzo hizo zitaendeshwa na supermodel Heidi klum na zitafanyika Nchini Ujerumani kwenye jiji la Frankfurt novemba 11

Nakuanzia tarehe 30 oktoba mashabiki wataweza kuwapigia kura wasanii kutoka mabara tofauti kupitia www.mtvema.com

Washiriki wa maeneo ya Afrika/India/Middle East watatangazwa Jumanne ya octoba 30 pamoja na washindi kutoka maeneo Ulaya,Latin Amerika,Amerika kaskazini na Asia pacific

0 maoni:

Post a Comment

Labels