Pages

Wednesday, October 24, 2012

TAMKO LA TOP C KUHUSU KUTOKUTOKA KWA NGOMA YAKE MPYA

SIKU chache  zilizopita  nyota  wa muziki wa  kizazi kipya  aneyewakilisha  kutoka pande za 'T.A' Tanga Top  C alitangaza  kuwa  yu karibu kuiachia  ngoma yake mpya  ambayo anaamini  ni kali kuliko ile iliyompa ujiko hapa town yaani 'sababu ya ulofa'.

Lakini  muda umapita  sasa  mkali huyo akiwa  kimya bila  kutoa ngoma  wala  kusema chochote sasa  hii hapa ndiyo taaraifa yake rasmi kwa mashabiki wake juu ya ujio wake mpya  na pia  akigusia kidogo kuhusu matatizo aliyopata baada ya kuachana na  aliyekuwa  wife wake.

0 maoni:

Post a Comment

Labels