Pages

Wednesday, October 24, 2012

UZINDUZI WA STUDIO YA KUREKODI MUZIKI TAREHE 27,10,2012

Ule uzinduzi uliokuwa unaongelewa katika vyombo vya Habari na Mitandao mbalimbali sasa umewadia ni Tarehe 27,10,2012 na Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro.

Pia kutakuwa na tamasha la kusaka vipaji ndani na nje ya wilaya Fomu zinapatikana kwa 5000/= tu 

Kiingilio ni 3000/= kwa wakubwa na watoto ni 1500/=

 Happy kamili katika picha mbili tofauti

Katika uzinduzi huo mkali wa nyimbo za Injili kutoka Jijini Mbeya Happy kamili atakuwepo na wasanii wa nyumba watakuwepo bila kusahau kundi linalosumbua kwasasa Wilayani Makete Empowerment Group nao ndaniii!! 


Y Jay (katikati ) mmoja kati ya wanao wakilisha kundi la Empowerment Group akiwa na Mtangazaji wa Redio Kitulo Fm ya Wilayani Makete wakwanza kushoto na Dj Nick wa II kutoka Mbeya .

Kwa mwenye kipaji na anatakakutoka kimuziki daka fomu mapema zinapatikana Ofisini VISION RECORD's au Piga simu 0755 894 663 & 0765 255 560 kwa maelezo zaidi.

Vision Record's For Quality Music

0 maoni:

Post a Comment

Labels