Pages

Friday, May 31, 2013

COMING SOON:-STEREO F/ AMAN - KILA KITU

Baada yakusaini Dili na Unity Entertainmen Msanii Stereo Sasa ni zamu yake kusikika na Hit yake Mpya ambayo inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

akipiga Stori katika Show ya 970 Show na Ergonelly inayorushwa na Kitulo Fm Stereo amesema Track yake mpya itaitwa KILA KITU ambayo amemshirikisha Mwanadada Anayefanya poa na Joint ya Kiboko Changu Si Mwingine ni Aman na Producer P Funk Majani wa Bongo Record's ndiye aliyehusika katika kuitengeneza
 na Joint Hiyo inahusu mapenzi. 

STEREO amesema wimbo wowote kuanzia sasa utakuwa ukiachiwa katika mfumo wa AUDiO & VIDEO 

0 maoni:

Post a Comment

Labels