Pages

Tuesday, May 14, 2013

LINE UP Nzima Ya Wasanii Watakaopiga Show Kwenye MTV AFRICA ALL STARS [KWAZULU-NATAL] Yatoka ..

.
Siku 4 kutoka leo, yaani tarehe 18 MAY mwaka huu litapigwa bonge la CONCERT likisherehekea MTV BASE upande wa Africa na kushirikisha wasanii kibao kutoka barani humo

CONCERT hiyo itakayofanyika KWA ZULU-NATAL katika uwanja MOSES MABHIDA STADIUM huko People's Park, DURBAN itaongozwa na rapper mkubwa duniani famously known as SNOOP DOGG and recently SNOOP LiON .


#AFRICAALLSTARS imetoa line up ya wasanii watakaopiga show hiyo nchini SOUTH AFRICA kama ifuatavyo ..

Fally Ipupa (@fallyipupa01
Professor(@professorkalawa)
2Face (@2faceidibia),
Flavour (@2niteFlavour) 
D’banj (@iamdbanj)
Camp Mulla (@campmulla)
Z akes Bantwini(@ZakesBantwiniSA)


0 maoni:

Post a Comment

Labels