Pages

Tuesday, May 07, 2013

STAMINA KABWELA Aomba Support Yako Katika Tuzo Za Muziki Za Tanzania

Kinyang'anyiro cha kuwania Tuzo za muziki za KILI kimeanza ... STAMINA ni mmoja wa wasanii walio katika baadhi ya categories za Tuzo hizo ... Anaomba kura yako .
 
Kumpigia kura Stamina Kabwela ili awe mshindi kwenye Tuzo za Kili Music Awards 2013 [KTMA] .
 
Check hapa :
 
- Mtunzi Bora wa Mashairi ya Hip Hop TUMA - AW5 Kwenda 15345.
- Msanii Bora wa Hip Hop TUMA - AH5 Kwenda 15345.
- Wimbo Bora wa Hip Hop ambao ni ALISEMA TUMA - BT1 Kwenda 15345.
Kwa walio nje na TANZANIA, unaweza kumpigia KURA Stamina kwa kuingia hapa : www.kilitimetz.com au kwa email hii hapa : ktma2013@innovexdc.com

0 maoni:

Post a Comment

Labels