Pages

Wednesday, May 29, 2013

MILLARD AYO NDANI YA AFRIKA YA KUSINI KUPATA UKWELI JUU YA KIFO CHA NGWEA


Millard Ayo mtangazaji wa Amplifaya na Top 20 Vya Clouds FM akiwa Afrika ya Kusini kufuatilia kwa undani kuhusiana na kifo cha msanii wa Bongo Flava Albert Mangwea a.k.a Ngwair - Cow Bamaaa kilichotokea siku ya jana Jumanne 28/5/2013 huko Afrika ya Kusini.


Habari zinasema Ngwair alikuwa na msanii mwenzake almaarufu kama M 2 To The P ambae nae kumekuwa na habari tofauti tofauti kuhusiana naye kwamba yuko chumba cha watu maututi (ICU) huko wengine wakisema amefariki endelea kutembelea www.cloudsfm.co na kuskiliza Clouds FM kwa stories zaidi za uhakika ndo maana Millard ameenda pande zile kwa ajili ya kupata ukweli wa kila kitu...R.I.P Ngwair.

0 maoni:

Post a Comment

Labels