Pages

Tuesday, May 14, 2013

BIG BROTHER AFRICA KUANZA HIVI KARIBUNI


The Biggest Reality Show In Africa ijulikanayo kama Big Brother Africa, inakaribia kuanza tena hivi karibuni kupitia televisheni yako.


Huu utakuwa ni msimu wa NANE tangu kuanzishwa kwa show hii ambapo this time around wameipa jina la ''Big Brother Africa'' [The Chase] , wakati mwaka jana iliitwa Big Brother Africa [Star Game].Reality Show hii inatarajiwa kuanza mapema Jumapili ya wiki ijayo ambayo itakuwa ni tarehe 26 May mwaka huu, ambapo zawadi iliyopangwa kwa mshindi wa shindano hilo ni kiasi cha dola za kimarekani $3000.000.

Mpaka sasa bado haijajulikana ni mshiriki gani kutoka Tanzania ambaye ataliwakilisha Taifa kwenye show hii 


0 maoni:

Post a Comment

Labels