Pages

Monday, May 13, 2013

ALBUM MPYA YA NYIMBO ZA INJILI NIMEUONA

Msanii wa Nyimbo za Injili na anayefanya Vizuri na Kazi yake ya NIMEUONA Goodluck Gozbert amesema Mwezi huu na ingiza Album yake mpya sokoni yenye jumla ya ngoma nane..! 

LIST YA NYIMBO ZINAZOKAMILISHA ALBUM HIYO
1.Nimeuona,
2.Atoshekaye,
3.Mpaka Lini
4.Uko Sawa
5.Nimwabudu Nani
6.Wa moyo
7.Umetamalaki
8.Shika Sana.

0 maoni:

Post a Comment

Labels