Pages

Sunday, June 02, 2013

PRODUCER B JAYZ SASA NDANI YA STUDIO MPYA "SKY RECORD'S" MKOANI NJOMBE - CHAUGINGI

 Sky Records
Mara baada yakufanya kazi katika Studio za SUMA Records kuanzia Mwaka 2010 mwezi 11 hadi 2013 Producer B Jayz sasa Amefungua Studio yake Mkoani Njombe katika Mtaa wa Chaugingi na Studio Hiyo Mpya Inatarajiwa Kuanza kufanya kazi Mwezi wa  Saba mwaka Huu.

Akijibu Swali lililokuwalikiulizwa na Baadhi ya watu wake wakaribu kuhusiana na kimya chake Producer Huyo amesema "Nilikuwa kimya kwa muda kutokana na Maandalizi ya kufungua Studio yangu...Sasa Nimerudi na Kitu kipya .....STUDIO inaitwa SKY RECORD's na Rasmi Mwezi wa Saba Midundu inaanza kunyongwa"

Producer Huyo awali alikuwa anafanya kazi Wilayani Makete katika Studio za Suma Record's na amefanya kazi kibao kwa muda wote aliokuwepo wilayani huko kama "kazi za makirikiri wa ki-kinga''


0 maoni:

Post a Comment

Labels