Pages

Saturday, June 08, 2013

TUZO KTMA 2013 | HAWA NDIO WASHINDI WENGINE WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013...KIKWETU KWETU


Mtayarishaji wa Wimbo Bora wa mwaka Band.....ni Amoroso
Msanii Bora wa Kike Band....ni Luiza Mbutu
Rapa Bora wa Band......ni Fagasoni
Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora.
Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall...Dabo na wimbo wa Predator
Msanii Bora wa Hip Hop........ni Kala Jeremiah!
Mtunzi Bora wa Mashairi Hip Hop na Msanii Bora wa Hip Hop...... ni Kala Jeremiah!
Wimbo Bora RnB...... ni Rama Dee na Kuwa na Subira!
Wimbo Bora Afrika Mashiriki..... ni Jose Chameleone na Valu Valu!
Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop...... ni Dear God wa Kala Jeremiah.
Video Bora ya Mwaka......ni Baadae ya Ommy Dimpoz!

0 maoni:

Post a Comment

Labels