Pages

Wednesday, June 12, 2013

LADY JAYA DEE AKIWA NA WASANII WAKONGWE WA MUZIKI WATAKAOMSINDIKIZA IJUMAA HII

Msanii Lady Jay Dee hapa akiwa na wasanii wakongwe hapa nchini ambao ni miongoni mwa wasanii watakaompa shavu la kutosha siku ya Ijumaa 14.06.2013 pale nyumbani Lounge

Tar 14 June kwenye sherehe za miaka 13 ya Jide kutakuwa na ugeni mwingine Mr. 2 SUGU ndani ya nyumba... Atakuja ku show love,,, Sema Unachowezaaa Mambo ya fedhaaaa

0 maoni:

Post a Comment

Labels