Pages

Monday, June 03, 2013

TUZO ZA KILI | WASANII WA ZAMANI KUIMBA NYIMBO ZA WASANII WA SASA

Wakazi wa Mwanza (mabatini), Temeke (uwanja wa taifa) na Kilimanjaro CCM mkoa, mwaka huu wamepata nafasi ya kuangalia Tuzo za kili live kupitia big screen, wakati shughuli ya kuwapata wasanii bora watakaoshine kwa mwaka 2012 - 2013 ikifanyika siku ya tarehe 8 june ndani ya Mlimani city.


shuguli hiyo ya utoaji Tuzo itaanza saa tatu za usiku, baada ya red carpet kuanza saa moja hadi saa mbili usiku, na kufatiwa na chakua kabla ya shughuli nzima kuanza saa tatu usiku, ambapo pia itaonyeshwa kupitia televisheni ya ITV.

Tickets zitaanza kuuzwa siku ya jumanne katika ukumbi wa mlimani C, Born 2 Shine Mwenge, Robby One Fashion, Kinondoni n Sharks Limited, Mtoni kwa Aziz Ally karibu na Equator, kwa zile tickets za VIP zinapatikana Mlimani City peke.

kumbuka zoezi la upigaji kura lilishafungwa tangu ilipofika tarehe 31 May, na kwa mara kwanza utashuhudia wasanii wa zamani wakiimba nyimbo za wasanii wa sasa na kinyume chake

0 maoni:

Post a Comment

Labels