Pages

Saturday, June 08, 2013

TUZO KTMA 2013 | TAZAMA PICHA YA KINACHO ENDELEA KATIKA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS

Ben Pol akiwa kwenye stage na tuzo yake ya Mtunzi Bora wa Mashahiri Bongo Fleva.


Ommy Dimpoz akiwa na Tuzo ya Wimbo Bora wa Bongo Pop wa Me and You.
 Kikwetu Kwetu zaidi! Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013!
 MC wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013 Bw. Zembwela.
Burudani ya kutosha katika Tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013.

0 maoni:

Post a Comment

Labels