Pages

Thursday, June 06, 2013

PICHA | M 2 THE P AWASILI TANZANIA NA YUKO NJIANI KWENDA KUMZIKA ALBERT MANGWEA

Msanii M 2 the P, aliekuwa na Ngwea nchini South Africa, amewasili jijini Dar leo hii na yuko njiani kuelekea Morogoro kwa ajili ya kumzika rafiki yake kipenzi.

M2theP licha ya kuweza kufika hapa lakini hali yake bado haijakaa sawa.


Amewashukueu watanzania wote waliomuombea na amefika salama Tanzania. 

"tutakuwa pamoja kwenda kumzika ndugu yangu, kipenzi changu Albert Mangwea, nashukuru sana watanzania kwa kuniombea, asanteni na endeleeni kuniombea, hali yangu haijawa nzuri zaidi. asanteni alisema M2theP

0 maoni:

Post a Comment

Labels