Pages

Saturday, June 08, 2013

TUZO KTMA 2013 | HAWA NDIO WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2013

Wimbo Bora wa Bendi......ni Mashujaa Band na wimbo wa Risasi Kidole!
Msanii bora wa kiume, bongo fleva...diamond 
Mtayarishaji wa Wimbo Bora wa mwaka Band.....ni Amoroso
Msanii Bora wa Kike Band....ni Luiza Mbutu
Rapa Bora wa Band......ni Fagasoni
Mashujaa Band wakifurahia Tuzo ya Band Bora.
Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall......Dabo na wimbo wa Predator
Msanii Bora wa Hip Hop........ni Kala Jeremiah!
Mtunzi Bora wa Mashairi Hip Hop na Msanii Bora wa Hip Hop...... ni Kala Jeremiah!
Wimbo Bora wa Mwaka Hip Hop...... ni Ney wa Mitego na wimbo wa Sema Nao!

0 maoni:

Post a Comment

Labels