Pages

Tuesday, June 11, 2013

Nash MC Kuja Na Kanda Mseto Mpya Hivi Karibuni

Mwanamuziki wa Hip Hop kutoka Mwanza maarufu kama Nash MC ambaye yuko chini ya Label ya Tamaduni Music anatarajia kuja na Kanda Mseto (Mixtape) yake hivi karibuni.

Kanda Mseto hiyo ambayo Nash ameipa jina la “CHIZI” ambayo imedhaminiwa na label yake hiyo ya Tamaduni Music inatarajiwa kuachiwa Tarehe 15 mwezi huu na utaipata kwa pesa za kitanzania kiasi cha shilingi 5000 tu.

0 maoni:

Post a Comment

Labels