Pages

This is default featured slide 1 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 2 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 3 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 4 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

This is default featured slide 5 title

Go to Blogger edit html and find these sentences.Now replace these sentences with your own descriptions.This theme is Bloggerized by Lasantha Bandara - Premiumbloggertemplates.com.

Tuesday, October 30, 2012

Collabo ya AY na Sean Kingston yakamilika, kesho kumfikia mikononi mwake


New Track: Criss Wamarya - Kilometa 6 Remix (Flex)



It's been a while since Criss Wamarya last release the Original version.On his New Remix Kilomita Sita" joint,Criss Wamarya intends to appetise his fans with simething Modern refreshing and club dance beat.

Thanks for support me.

For Interview Call me: +255 718 777667

Track done at Digital Vibes
Producer GQ

Sunday, October 28, 2012

BARBIE WINE AKANA KUACHANA NA MUMEWE


THE GAME HATAKI BIFU KATI YA MARIAH CAREY,NICKI MINAJ


TONI BRAXTON AMEKUMBWA NA 'PRESHA'


DIAMOND PLATNUMZ NA NATAKA KULEWA (NIACHENI) NIUJIO WAKE MWINGINE

Jipange

NYIMBO 20 BORA ZA KITULO FM TAREHE 28/10/2012



NAFASI      JINA LA WIMBO           JINA LA MSANII

20;                         Sean Paul                             She Doesn't Mind (10 last week)
19;                          Hawalali                                        Dullayo   
18;                          As Long As You Love Me                    Justin Bieber (20 last week)
17;                          Hellow                                                  Pof Jay Feat Dully Sykes,
16;                          Manuva                                                Joh Makini Feat Dunga,
15;                        Valu valu                                     Dr Chameleone (13 last week)
14;                         Mtoto wa Kariakoo                               Dully Sykes,
13;                         Kuwa na Subira                  Rama Dee Feat Mapacha(15 last week)
12;                         Riziki                                                     Tip Top Connection,
11;                       Kiuno                                        TID Feat Ngwea (04 last week)
10;                       Bwege mtozeni                                 Nuh (18 last week)
09;                        Watasubiri                                             Mtanashati Entertainment,
08;                        Aifola Aifola                                Linex Sunday Feat Fundi Samwel,
07;                        Sihitaji Marafiki                                      Fid Q,
06;                       Utarudishwa                                 Izzo B Feat Belle 9(11 last week)
05;                       Ya Moyoni                                     Janjaro Feat PNC (06 last week)
04;                      Mapenzi na Shule                       Empowerment Group(05 last week)
03;                      Nidanganye                  Shetta Feat Diamond Platnumz(02 last week)
02;                      Leka Dutigite                                    Kigoma All Stars(03 last week),
Bonus Track        Muda                                                    Wakubwa wajiji,
01;                       Ameen                                          Mwana FA Feat AY & Dully Sykes.(2weeks)


Maoni/Ushauri;-0755 894 663
Imeandaliwa na;- Ergon Elly
Hoster;-Ergon Elly
Tunakutakia Jumapili Njemaaa!!!!!

Friday, October 26, 2012

K RECORD'S KESHO JUMAMOSI KUMPATA MSANII ATAKAE SAINI LABLE

Studio ya Kurekodi Musiki ya K RECORD's na Boss wa studio hiyo watakuwa watakuwa wanatafuta mtu/msanii wa kusaini nae lable ya muda wa miaka miwili mchakato wa kumtafuta msanii utafanyika Jumamosi katika Ofisi hizo kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi kamili jioni.

Majaji katika mchakato huo watakuwa kama ifuatavyo;-FILBETH KABAGO -Mtangazaji wa Passion Fm
SHEILA na LOLLI POP - Producer wa K RECORD'S  na mshindi wa kwanza atasaini lable washindi wa PILI na WATATU watarekodi ngoma Bure

KICHUPA CHA WAKUBWA WAJIJI JUMAMOSI HII KINASHUTIWA


Kundi linalofanya vizuri na ngoma ya MUDA kutoka Mwanza si lingine ni WAKUBWA WAJIJI lipo kwenye hatua za mwisho za kufanya Video ambapo Jumamosi hii watakuwa location kwaajili ya kufanya shootin'

kundi hilo lipo chini ya MR BIG na Video wanafanya na Show bizzy Defined na Mike T na Audio imefanyika K RECORD's under The Hit Maker Lollipop


PICHA MBALIMBALI ZA STUDIO AMBAYO KESHO INAZINDULIWA _ VISION RECORD'S


 

Kesho ni uzinduzi wa studio ya kurekodi Mjini makete na ratiba itakuwa;-
Saa 10;00 Asubuhi - Mgeni rasmi Ataanza uzinduzi
Saa 02;00 Mchana Ukumbini na ndiko shughuli nzima ya kusaka vipaji inakofanyika



 Mtangazaji wa Redio Kitulo Fm na Mmiliki wa mtandao huu alipotembelea studio hiyo

 Mr Red kushoto kutoka katika kundi la Empowerment  akiwa na Ergon Elly


Mr Red katika Picha
 







Wednesday, October 24, 2012

TAMKO LA TOP C KUHUSU KUTOKUTOKA KWA NGOMA YAKE MPYA

SIKU chache  zilizopita  nyota  wa muziki wa  kizazi kipya  aneyewakilisha  kutoka pande za 'T.A' Tanga Top  C alitangaza  kuwa  yu karibu kuiachia  ngoma yake mpya  ambayo anaamini  ni kali kuliko ile iliyompa ujiko hapa town yaani 'sababu ya ulofa'.

Lakini  muda umapita  sasa  mkali huyo akiwa  kimya bila  kutoa ngoma  wala  kusema chochote sasa  hii hapa ndiyo taaraifa yake rasmi kwa mashabiki wake juu ya ujio wake mpya  na pia  akigusia kidogo kuhusu matatizo aliyopata baada ya kuachana na  aliyekuwa  wife wake.

UZINDUZI WA STUDIO YA KUREKODI MUZIKI TAREHE 27,10,2012

Ule uzinduzi uliokuwa unaongelewa katika vyombo vya Habari na Mitandao mbalimbali sasa umewadia ni Tarehe 27,10,2012 na Mgeni rasmi atakuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete Mh. Josephine Matiro.

Pia kutakuwa na tamasha la kusaka vipaji ndani na nje ya wilaya Fomu zinapatikana kwa 5000/= tu 

Kiingilio ni 3000/= kwa wakubwa na watoto ni 1500/=

 Happy kamili katika picha mbili tofauti

Katika uzinduzi huo mkali wa nyimbo za Injili kutoka Jijini Mbeya Happy kamili atakuwepo na wasanii wa nyumba watakuwepo bila kusahau kundi linalosumbua kwasasa Wilayani Makete Empowerment Group nao ndaniii!! 


Y Jay (katikati ) mmoja kati ya wanao wakilisha kundi la Empowerment Group akiwa na Mtangazaji wa Redio Kitulo Fm ya Wilayani Makete wakwanza kushoto na Dj Nick wa II kutoka Mbeya .

Kwa mwenye kipaji na anatakakutoka kimuziki daka fomu mapema zinapatikana Ofisini VISION RECORD's au Piga simu 0755 894 663 & 0765 255 560 kwa maelezo zaidi.

Vision Record's For Quality Music

MARA BAADA YA MAKAMBAKO KUHAPEN LIKE THIS SASA THE GREEN CITY JIPANGENI NI MTIKISIKO 2012

Umati wa watu wakishuhudia wasanii mbalimbali wakiimba katika mtikisiko 2012 makambako
Agness wa Ebony Fm kulia

Sio adhabu ni dance show

Dj Muba kwenye willz of chumaa

Amin Mwinyi Mkuu kulia kutoka THT



Mtu cheeeeee

MJUE D KNOB KUANZIA MWAKA ALIOZALIWA MPAKA MWAKA 2009


D-Knob akiwa amembeba mtoto wake wa kwanza ...
 
Innocent Cornel Sahaani (alizaliwa tar. 12 Februari, 1980) ni msanii wa hip hop na Bongo Flava..anayefahamika zaidi kwa jia lake la kisanii kama "Dknob". 

Dknob ametoa nyimbo nyingi tu zenye kuwika sana katika Afrika ya Mashariki...kama vile Elimu Mitaani.com, Sauti ya Gharama, Ingewezekana na Kitu Gani.

Dknob alizaliwa mnamo tarehe 12 Februari ya mwaka wa 1980, katika mkoa wa Tabora, Tanzania. 

Amenza kupata elimu yake ya msingi katika shule ya Mazoezi Ligula Mtwara na kuja kumalizia katika shule ya msingi ya Kipawa iliyopo Dar es Salaam. 

Baada ya kumaliza elimu ya msingi, baadaye akawa anaendelea na masomo ya sekondari katika shule ya sekondari ya Pugu kwa kidato cha kwanza mpaka nne na baadaye kidato cha tano na sita akamalizia katika shule ya sekondari ya Jitegemee ya jiji Dare es Salaam.

Shughuli za muziki
Dknob alianza rasmi shughuri za muziki kunako mwaka wa 1998, ni baada ya kuvutiwa sana na albamu ya marehemu Tupac na Big Small au Notorious Big. 

Ilipofika mwaka wa 2000, Dknob alirekodi nyimbo ya Kibongo Stance ambayo pia ilishirikisha baadhi ya wasanii mbalimbali akiwemo G-Pozz, Pig Black, Dknob mwenywe na wengine kibao.

Mnamo mwaka wa 2001, Dknob akabahatika kurekodi nyimbo yake ya kwanza akiwa kama msanii binafsi na nyimbo ilikwenda kwa jina la usiniache ambayo pia ilimshirikisha Mez B na ilitayarishwa na matayarishaji mashuhuri Bw.Miikka Mwamba. 

Kurekodiwa kwa nyimbo ya usiniache, ikawa kama ndiyo mwanzo wa Dknob kupata mafanikio na akabahatika kukutana na Ruge Mutahaba, ambaye pia ni mkurugenzi wa Smooth Vibe Project, ambayo iliweka nyimbo ya Dknob katika compilesheni za Bongo Hottest (mkusanyiko wa nyimbo kali za Bongo Flava).

Mwaka wa 2003, Dknob akatoa single ya elimumitaani.com ambayo ilifanya vizuri zaidi na kuweza hata kumleta umaarufu katika medani ya muziki wa kizazi kipya.
Na kibao hiko cha elimumitaani, nacho kilitayarishwa na mtayarishaji mashuhuri wa muziki Bw. Miikka Mwamba na ndiyo ikawa mara yake ya mwisho kwa Miikka kumtengenezea Dknob nyimbo kwa mwaka wa 2003 na 2004 Miikka akarudi kwao nchini Finland.

Baada ya hapo, Dknob akakutana Dj Steve B wa kituo cha radio cha Clouds FM na akawa kama kiongozi wake na hata kumdhamini katika kukamilisha albamu ya Dknob na kumfanyia promosheni za nguvu.

Akiwa na meneja Stveve B, Dknob akafanikiwa kurekodi nyimbo ya Sauti ya Gharama akiwa amemshirikisha tena mwanamuziki Mez B na nyimbo ilitengenezwa na mtayarishaji maarufu Bw. P Funk Majani .

Mwaka wa 2005, Dknob akafanikiwa kutoa albamu yake ya kwanza iliyokwenda kwa jina la Elimumitaani.com ikiwa chini yake mwenyewe Dknob akiwa pamoja na Steve B na albamu ikasambazwa na FKW Promoters.
Mnamo tarehe 4 Septemba ya mwaka wa 2006, Dknob akataoa single yake ya "ingewezeakana" akiwa amemshirikisha Ray C na Squeezer na single ikaingia katika albamu ya nyimbo mchanganyiko ya Pamoja Ndani ya Game (mchanganyiko wa nyimbo kali za Bongo Flava).

Katika mwaka huo huo wa 2006, Miikka akawa amerudi Bongo na akaanza mpango wa kutengeneza albamu ya Dknob ya "Bomoa Mipango". 

Mnamo tarehe 20 Aprili ya mwaka wa 2007, Dknob akaachia single yake ya "Kitu Gani" ambayo ilimshirikisha msanii machachali wa Bongo Flava Bw. Q Jay na ilivyofika tarehe 20 Agosti ya mwaka wa 2007, akatoa video ya nyimbo hiyo na kazi hiyo ilifanywa na kampuni ya kupigia video ya Visual Lab ya Dar es Salaam, Tanzania. 

Ifikapo tarehe 1 Julai ya mwaka wa 2008, Dknob atatoa albamu yake ya pili itakayo kwenda kwa jina la “Bomoa Mipango” na single ya kutambulisha albamu hiyo itakwenda kwa jina la “Dear Mtoto”, ambayo pia inategemewa kutoka mnamo tar. 25 Julai ya mwaka wa 2008. 

Katika albamu hiyo, pia kuna nyimbo ya ziada ambayo inaitwa Badamn akiwa amemshirikisha msanii Cannibal wa kutoka nchini Kenya.

Maisha binafsi
Mnamo tar. 29 Septemba 2008, Dknob alimwoa Bi. Anitha Ramadhani (amezaliwa 9 Septemba, 1983). 

Kwa pamoja wana mtoto mmoja ambaye alizaliwa kabla ya ndoa aitwaye Vivican, aliyezaliwa mnamo tar. 18 Agosti ya mwaka wa 2006.

Vilevile Dknob ni mtu wa mitungi tangu yungali bwana mdogo, lakini mitungi yake imefikia kikomo ilivyofika tar. 8 Januari ya mwaka wa 2009, pale alipowekewa sumu kwenye pombe akiwa Klabu, hapo ndipo ikawa mwanzo na mwisho wa yeye kunywa pombe. 

Kwa sasa anaishi yeye na familia yake iliyopo huko Kiwalani, jijini Dar es Salaam.

Itaendelea wiki lijalo

Tuesday, October 23, 2012

X GIRL FRIEND---- NEW HIT KUTOKA KWA DJ NAS COMIN' SOOON

Hip Hop MC kutoka Stone Town IRINGA na anayefanya vizuri na ngoma yake ya PATA RAHA au CHAP CHAP si mwingine ni Nickson Sanga alimarufu kama DJ NAS yupo kwenye harakati za kuachia ngoma mpya ambayo imeandaliwa na The Hit Maker TEMMY kutoa I MUSIC.

Akichonga na mmilikiwa mtandao wa www.ergonelly.blogspot.com DJ NAS amesema Ngoma hiyo inaitwa X Girl Friend na mashabiki wake wakae tayari kwa mzigo mpyaaaa

 DJ NAS ni Mtangazaji na DJ wa kituo cha Redio Country FM Mkoani Iringa

Labels