Pages

Tuesday, July 09, 2013

RAPPER OCTOPZZO KUACHIA ALBUM YAKE MPYA HIVI KARIBUNI

 
Rapper kutoka Nchini Kenya akiwakilisha KIBERA (Number 8) Si mwingine ni OCTOPIZOZO will drop his 1st SOLO album mwaka huu.

Octo ambaye anatamba na ngoma kama IVO IVO, SO ALIVE, SWAG na nyinginezo kibao anadai ameshamaliza kurekodi ngoma hizo na amewaomba fans wake kumpatia jina la ALBUM hiyo Mpya ambayo anatarajia kuachia mwaka huu.

Octo amekuwa ni msanii/rapper anayefanya buzz kubwa sana nchini Kenya especially at the capital city – NAIROBI kama wewe ni fans wake katika muziki Unaweza kupitia kwenye page ya Octo sasa hivi na kutoa pendekezo la jina hio

0 maoni:

Post a Comment

Labels