Chris
Brown Na Nicki Minaj wameteka mitaa ya Mjini L.A Kwa pozi tofauti
walizo kuwa wanafanya wakati wa shooting ya video yao mpya ya “Love
More” . Huu ni mmoja ya wimbo ambazo zipo kwenye album mpya ya Chris
Browm' X ' ambayo imebarikiwa na sauti za wasanii kama Kendrick Lamar, Rihanna, Kelly Rowland na wengine.
Bonyeza Read More Uone Picha Zaidi.
0 maoni:
Post a Comment