Pages

Wednesday, April 17, 2013

[AUDIOS] NEW: 909 - SHOW ME & CHILLIN' .

Ni brand new tracks kutoka kwa wasanii wa kizazi kipya hapa Tanzania, hapa inawahusisha ... Ronny,Icy, Kiche Legend, Agogo, Mswati pamoja na RockHard .Wasanii hawa kwa pamoja wanaunda kundi linaloitwa 909 .

Mpya kutoka kwa wasanii hawa ni kuwa wameachia ngoma zao mpya mbili kwa pamoja, ambazo ni ''Show Me'' pamoja na ''Chillin'' .

Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hizi mbili hapa kwa kubofya Jina la kundi 909

0 maoni:

Post a Comment

Labels