Mwigizaji Elizabeth
Michael (Lulu) ambae kwa sasa yuko nje kwa dhamana kutokana na kesi
inayomkabili ya kuua bila kukusudia, amefanya party kwa ajili ya siku
yake ya kuzaliwa April 17 ambapo aliandika kuhusu umri wake kwenye hii
picha ya kwanza ya keki hapa chini ili kuondoa utata ambao ulijitokeza
ambapo taarifa nyingine zilisema amezidi miaka 18 lakini nyingine
zikisema yuko chini ya miaka 18.
สมัคร wing888 VIP เว็บตรงคุณภาพสูง และบริการคุณภาพ
2 months ago
0 maoni:
Post a Comment