Pages

Wednesday, April 17, 2013

AUDIO:-''Jicho La Huba'' NI UJIO MPYA WA Diva Loveness Love


Mtangazaji na msanii wa kizazi kipya maarufu kama Diva Loveness Love sasa yuko mbioni kuachia ngoa yake nyingine mpya itakayokwenda kwa jina la ''Jicho La Huba'' 
 
Katika ngoma hiyo Diva amefanya kazi pamoja na rapper Stereo kutoka Unity Entertainment pamoja na Didge kutoka Kenya .

Mpaka sasa, Diva anafanya vizuri na ngoma yake inayokwenda kwa jina la ''Mgonjwa Kwa Raha Zako''Mr. Blue ... ambayo alimshirikisha

0 maoni:

Post a Comment

Labels