Pages

Tuesday, April 23, 2013

NEW HIT:- PASHA - UMENIWEZA


Baada ya kufanya poa na Joint yake aliyomshirikisha Tunda Man wa TIP TOP "AMEKUWA" sasa tena na Joint mpya......inayokwenda kwa jina la "Umeniweza''...
Pasha ambae hapo nyuma alifanya vizuri sana na baadhi ya ngoma zake kama Ni Soo, Hidaya na nyinginezo

0 maoni:

Post a Comment

Labels