Pages

Wednesday, April 24, 2013

MAADHIMISHO MEMA YA SIKU YAKO YAKUZALIWA


Habari wadau

Naitwa Edwin Moshi a.k.a Eddymoblaze, ni blogger mwenzenu nayemiliki mtandao www.eddymoblaze.blogspot.com, Napenda kuchukua fursa hii kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kunifikisha salama siku ya leo Jumatano April 24 ambapo naadhimisha siku yangu ya kuzaliwa, pia na ninyi bloggers wenzangu nawashukuru kwa ushirikiano wenu katika hili bila kusahau familia yangu
ergonelly inakutakia maadhisho mema ya siku yako ya kuzaliwa.

0 maoni:

Post a Comment

Labels